ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, November 19, 2012

MAPIGANO MAKALI YAENDELEA CONGO

Muri Congo ibintu ntabwo byoroshye na gato! 524032_390871930974556_274056079_n1 

Mwanamgambo wa M23 aliyeuwawa

 

Wanamgambo wa M23

  

M23 wakiwa katika mafunzo

 

Watoto ni sehemu ya Jeshi ya M23


 

 

 

  

  

Wanajeshi wa Serikali ya Kongo wakipewa mafunzo na Marekani kukabiliana na wanamgambo wa M23

 

  

Wanamgambo wa M23 wakiwa mji wa Goma

 

 

Ngome ya wanamgambo wa M23 ambao viongozi wake wanakabiliwa na vikwazo

  

Ushahidi wa silaha zilizokamatwa zikiwa zimetokea Rwanda

 

Pamoja na uwepo wanajeshi wa kulinda amani wa UN bado wananchi wanateseka tu. Hawa ni kama marefa tu wakiangalia fair play 

  

 

  

Helkopta za UN zimerudisha nyuma waasi wa M23 baada ya kuingia Goma. Kwa nini wasiwafuate waliko ili kumaliza tatizo?

 

  

  


  

Wananchi wa Kongo ndiyo wanaoteseka kila siku ijayo kwa Mungu. Vita kwao vimekuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha

 

  

  

  

Kagame - rais wa Rwanda anakabiliwa na vikwazo lutokana na kusaidia waasi wa M23 Vikwazo vitasaidia nini kama wao wanachuma madini yakila aina huko Kongo? Hao hao wanaoweka vikwazo ndiyo hao hao wanaouza silaha na kununua madini ya DRC


Wanajeshi wa Congo mjini Goma
Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imepuuzilia mbaya makataa iliyotolewa na wapiganaji wa waasi wa kuanzisha mazungumzo ya amani, na kukariri kuwa itaendelea kuilinbda mji wa Goma, Mashariki mwa nchi hiyo.
Waasi wa M23 wamesemekana kuukaribia mji huo huku maelfu ya raia wakikimbia makwao.
Mapema hii leo, wapiganaji hao walitoa ilaani ya saa ishirini na manne kwa serikali ya nchi hiyo kuanzisha mazungumzo, ya amani la sivyo wataendelea na vita hivyo.
Baraza la usalama la umoja wa mataifa umelaaini hatua hiyo ya waasi wa M23 ya kuendelea na mapigano huku wakielekea mji wa Goma.
Mapigano hayo yametajwa kuwa mabaya zaidi tangu mwezi Julai Mwaka huu katika eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa madini.
Barabaraza mji wa Goma haikuwa na raia kama kawaida na magari ya kijeshi na yale ya umoja wa mataifa ndiyo yaliyokuwa yakizunguka mji huo.
Waasi hao wa M23 wamesema kuwa ikiwa serikali ya nchi hiyo haitakubali kuanzisha mazungumzo hayo, hawatakuwa na budi ila kuendelea na mapigano hayo, hadi watakapoiondoa utawala wa sasa.
Msemaji wa serikali ya Congo Lambert Mende amesema waasi hao wanajumuisha wanajeshi ambao wanaungwa mkono na serikali ya nchi jirani ya Rwanda, ili kuficha vitendo vya kigaidi vinavyoendeleza katika eneo hilo la Mashariki.
Lakini serikali ya Rwanda imepuuzilia mbali madai hayo, ikisema kuwa hayana msingi wowote.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...