Viongozi mbalimbali wachama cha Mapinduzi wakiwa katika Mapokezi ya Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM huko katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Aman Karume Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar
Dk,Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama hicho na Wananchi mbalimbali
waliokwenda kumpokea hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume
Zanzibar.
-Msafara wa Wapanda Pikipiki wa Chama cha Mapinduzi ukiwa mbele katika Mapokezi
ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar
Dk,Ali Mohd Shein ukitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume
Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment