Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji toka kwa
muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa
Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha jana Novemba 16,
2012
Waheshimiwa majaji wakimsikilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani)
wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya
Snow Crest jijini Arusha jana Novemba 16, 2012
Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika
hoteli ya Snow Crest jijini Arusha jana Novemba 16, 2012.Wengine kutoka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Nhe. Magesa
Mulongo Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mhe
Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar
Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mhe Fakih Jundu
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment