Mh.Pinda Akagua Mashine Ya Sola
Waziri
Mkuu Mh. Mizengoi Pinda akitazama mtambo wa kuchemsha maji kwa kutumia
nguvu ya jua wakati alipokagua banda la CARMATEC leo katika maonyesho ya
kuadhimisha uzinduzi wa mkoa wa Katavi unaotarajiwakufanyika Novemba
24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment