Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakipokea mashada ya mauwa kama ni
Ishara ya ukaribisho katika Ikulu ya Vietnam,alipofika kwa mazungumzo
na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan,akiwa na ujumbe
wake katika ziara rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akiwatambulisha Viongozi aliofuatana nao kwa Makamo wa Rais wa
Vietnam Bibi,Nguyen Thi Doan,walipowasili Ikulu ya nchi hiyo kwa
mazungumzo,ya kuimarisha uhusiano na Ushirikiano baina ya pande zote,
akiwa katika ziara rasmi ya wiki moja nchini humo.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwamamwema Shein, akisalimiana na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi,
Nguyen Thi Doan,alipowasili Ikulu nchini Vietnam,alipofuatana na Rais
wa Zanzibar katika ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Vietnam ya wiki moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akisalimiana na Mawaziri na Viongozi mbali mbali wa Nchini
Vietnam ,alipofika ikulu ya nchi hiyo kwa mazungumzo na Makamo wa Rais
Vietnam Bibi, Nguyen Thi Doan, akiwa katika ziara rasmi ya
Kiserikali nchini humo ya wiki moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein, akisalimiana na Makamo wa Rais Vietnam Bibi, Nguyen Thi
Doan,alipowasili Ikulu nchini Vietnam,akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya Kiserikali nchini humo ya wiki moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
shein,(katikati) akiwa ujumbe aliofuatana nao katika Mkutano maalum na
Uongozi wa Serikali ya Vietnam,ukiongozwa na Makamo wa Rais wa Nchi
hiyo Bibi Nguyen Thi Doan,(hawapo pichani) katika ukumbi wa Ikulu
,katika kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano baina ya pande mbili
hizo,katika ziara rasmi ya Kiserikali.
Viongozi wa Serikali waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi wakiwa kwenye mkutano maalum na uongozi wa serikali
ya Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na mwenyeji
wake Kiongozi Mkuu katika Ofisi ya Rais Ikulu Nchini Vietnam,Bw Giang
Son,wakiwa katika ukumbi wa Mapunziko VIP katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam,akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya Kiserikali
Mama
Mwanamwema Shein,(kulia) Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na
Ushirika Haroun Ali Suleiman,(atikati) na Balozi wa Tanzania Nchini
China,pia akiwa anafanya kazi zake nchini Vietnam, Philip Sang'Ka
Marmo,wakiwa katika Chumba cha Mapumziko VIP katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam,wakiwa ni miongoni mwa Ujumbe wa Rais
wa Zanzibar Nchini Vietnam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Maofisa wa Serikali ya Vietnam, alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam, akiwa katika
ziara rasmi ya Kiserikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akifuatana na mwenyeji wake Kiongozi Mkuu katika Ofisi ya Rais Ikulu
Nchini Vietnam, Bw Giang Son,(wa pili kushoto) baada ya mapokezi rasmi
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hanoi Nchini Vietnam,akiwa na
ujumbe wake katika ziara rasmi ya Kiserikali,(kushoto) Balozi wa
Tanzania Nchini China,pia akiwakilisha nchini Vietnam Philip Sang'ka
Marmo.Picha Zote na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment