Marehemu Fred Mtoi (katikati) enzi za Uhai wake akiwa na Wadau wa Urban Pulse katika Ubalozi wa Tanzania jijini London.
Mtangazaji
wa BBC Fred Mtoi alifariki dunia Ijumaa usiku mjiniLondon. Fred alianza
kazi ya utangazaji katika RadioTanzania kabla ya kwenda Ulaya kwa
mafunzo.
Alikuwa
akifanya kazi huku akiendelea na masomo ya shahada ya pili ‘Masters’
kwenye digital media mjini London. Fred alishiriki katika vipindi vya
sanaa, utamaduni na matangazo ya kawaida ya habari ya Idhaa ya Kiswahili
ya BBC.
Matayarisho yanafanywa kusafirisha mwili wake hadiTanzania.
No comments:
Post a Comment