Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa
Benin Mhe Boni Yayi wakiongea katika mkutano na wanahabari Ikulu jijini
Dar es salaam Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na
Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam Januari 16,
2013
Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais
wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
salaam Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho akimuaga Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na
Rais wa Benin Mhe Boni Yayi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere leo Januari 16, 2013.Picha Na Ikulu
No comments:
Post a Comment