Rubani
Mstaafu wa Ndege za Serikali, Felix Henry Kileo akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya tukio la kuvinjiwa
nyumba namba 15 aliyokuwa akiishi na kufanya biashara katika kitalu
namba 223/50 kilichopo mtaa wa Ohio jijini humo. Kwa Mujibu Wa wakala wa
Majengo wa Serikali (TBA) Kiwanja hicho kinamilikiwa na Benki ya
Uwekezaji Tanzania (TIB) na Benki hiyo inataraji kujenga Makao makuu ya
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Rubani huyu alidai kitendo cha kubomolewa nyumba yake ni cha kinyama kwani yeye alikuwa mtumishi wa serikali kama rubani na katika kipindi chote cha utumishi wake hakuwahi hata siku moja kupata ajali hata pancha akiendesha Viongozi kama Marais.

Kutokana
na kuta za nyumba hiyo kuwa ngumu kazi ya ubomoaji ililazimika kuanzia
madirishani ili kurahisisha ubomoaji.
Vitu vikiwa nje
Vyombo
vilivyokuwa vikitumika upande wa Biashara vikiwa nje.Mgahawa ulikuwa maarufu
kama Kwa Mama.Picha na Habari na Mdau Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment