Tang Shuquan akikunja sura
Tang Shuquan akiwa katika hali ya kawaida
Afadhali ya huyu kidogo
Huyu ndo kaharibu kabisaaaaa.
Mwenyezi Mungu ametupatia vipaji mbalimbali. Wakati mwingine hatuna muda wa kuvivumbua vipaji hivyo. Wengine wamejaliwa karama ya kuvitambua na hivyo kuvitumia kwa manufaa yao.
Tang Shuquan ni kati wa binadamu aliyegundua kuwa ana uwezo wa kubadilisha sura ya uake kwa namna mbalimbali. Sasa hiyo tu ya kubadili mwonekano wa uso wake ndio unaompa ulaji. Analipwa na Guiness World Records $10,000 kils mwaka hadi atakayeweza kufanya vizuri zaidi kuliko huyu atakapopatikana.
Kama unamfahamu mtu wa aina fulani au mwenye kitu cha kipekee kama umri mkubwa, umbo dogo sana, umbo kubwa sana, urefu, unene, macho ya ajabu, ulimi mrefu, pua ya ajabu......... msaidie mtu huyo ili aingie kwenye mashindano ya Guiness na anaweza kuwa milionea just like that. Nina uhakika mtu akienda huko mikoa ya kati, kama Singida, Manyara..... unaweza kukutana na mtu wenyeumri wa miaka 200. Unaweza kukutana na kitu cha ajabu ambacho dunia inaweza kushangaa na wewe ukapata pesa. Mimi nafahamu namna ya kuaply na namna ya kuwapata hawa watu wa Guiness World awards.........
Tuwasiliane kama una an extra ordinary person........
No comments:
Post a Comment