ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, July 22, 2013

Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema na Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi Waung'uruma Mbeya


 Mbunge wa Mbeya Mjini -Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu akihutubia Mamia ya wananchama wa Chadema kwenye mkutano wa hadhara mbeya
 Picha juu ni Sehemu ya mamia ya wafuasi wa chadema wakimsikiliza Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi na Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema Godbless Lema Walipokua wakihutubia mkutano wa hadhara.
Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu(wa nne kushoto)na mbunge wa arusha mjini-chadema godbless lema(wa tatu kulia)wakiwa kwenye mkutano wa hadhara mjini mbeya.Picha na Chadema

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...