ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, July 22, 2013

WAZIRI DK. NCHIMBI APOKEA MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YALIYOANDALIWA NA KARISMATIKI KATOLIKI, JIJINI DAR ES SALAAM


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akiwa ameshika msalaba mara baada ya kupokea maandamano makubwa ya mamia ya Waumini wa Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Kushughulikia Malalamiko, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Shio.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na mamia ya Waumini wa Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam katika viwanja vya jangwani, jijini Dar es Salaam mara baada ya kuyapokea maandamano makubwa ya waumini hao yaliyoanzia Msimbazi Centre hadi katika viwanja vya Jangwani jana. Dk Nchimbi katika hotuba yake alisisitiza kuwa, atahakikisha viongozi wa dini ambao watafanya mihadhara ya chuki nchini kwa kuitukana dini nyingine watakamatwa na kufikishwa mahakamani. 

Mamia ya Waumini wa Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti katika viwanja vya jangwani, jijini Dar es Salaam mara baada ya maandamano yao yaliyoanzia Msimbazi Centre hadi viwanja vya Jangwani kupokewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi katika Kongamano la Amani la kuiombea Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...