ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, January 25, 2014

MWANAMKE AUAWA KIKATILI KWA KUCHINJWA NA MUMEWE: TAHADARI KWA PICHA HIZI!

TAHADARI KWA PICHA HIZI!



Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.

Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.


Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!


Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...