USAJILI
wa dirisha dogo unazidi kupamba moto na hii ni orodha ya wachezaji
waliotemwa na kusajiliwa na klabu za England hadi sasa.
ARSENAL
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOONDOKA: Chuba Akpom (Brentford, mkopo)
ASTON VILLA
WALIOINGIA: Grant Holt (Wigan, mkopo)
WALIOONDOKA: Stephen Ireland (Stoke, bure)
CARDIFF
WALIOINGIA: Magnus Wolff Eikrem (Heerenveen, Pauni Milioni 2), Mats Moller Daehli (Molde), Jo Inge Berget (Molde)
WALIOONDOKA: Rudy Gestede (Blackburn), Filip Kiss (Ross County, mkopo), Nicky Maynard (Wigan, mkopo)
CHELSEA
WALIOINGIA: Bertrand Traore (Association Jeunes Espoirs De Bobo-Dioulasso), Nemanja Matic (Benfica, Pauni Milioni 21)
WALIOONDOKA: Bertrand Traore (Vitesse Arnhem, mkopo), Kevin de Bruyne (Wolfsburg, Pauni Milioni 17), Josh McEachran (Wigan, mkopo)
CRYSTAL PALACE
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOONDOKA: Jason Banton (Plymouth, bure), Jimmy Kebe (Leeds, mkopo)
EVERTON
WALIOINGIA: Aiden McGeady (Spartak Moscow)
WALIOONDOKA: Nikica Jelavic (Hull bure)
FULHAM
WALIOINGIA: Clint Dempsey (Seattle Sounders, mkopo)
WALIOONDOKA: Bryan Ruiz (PSV, mkopo)
HULL
WALIOINGIA: Nikica Jelavic (Everton)
WALIOTOKA: Tom
Cairney (Blackburn, Pauni 500,000), Conor Townsend (Carlisle, mkopo),
Eldin Jakupovic (Leyton Orient, mkopo), Cameron Stewart (Leeds, mkopo)
LIVERPOOL
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOONDOKA:Adam Morgan (Yeovil, bure)
MANCHESTER CITY
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOONDOKA: John Guidetti (Stoke, mkopo)
MANCHESTER UNITED
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOINGIA: Hakuna
NEWCASTLE
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOTOKA: Jonas Gutierrez (Norwich, mkopo)
NORWICH
WALIOINGIA: Jonas Gutierrez (Newcastle, mkopo)
WALIOTOKA: Hakuna
SOUTHAMPTON
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOTOKA: Hakuna
STOKE
WALIOINGIA: John Guidetti (Man City, mkopo), Stephen Ireland (Aston Villa, bure)
WALIOTOKA: Brek Shea (Barnsley, mkopo), Jamie Ness (Leyton Orient, mkopo)
SUNDERLAND
WALIOINGIA: Marcos Alonso (Fiorentina, mkopo)
Santiago Vergini (Estudiantes, mkopo)
WALIOTOKA: Mikael Mandron (Fleetwood, mkopo), Ji Dong-won (Ausburg, bure)
SWANSEA
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOTOKA: Alan Tate (Aberdeen, mkopo)
TOTTENHAM
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOTOKA: Jermain Defoe (Toronto, Pauni Milioni 6), Simon Dawkins (Derby), Shaquile Coulthirst (Leyton Orient, mkopo), Jon Obika (Brighton, mkopo)
WEST BROMWICH ALBION
WALIOINGIA: Hakuna
WALIOTOKA: Lee Camp (Bournemouth, bure)
WEST HAM
WALIOINGIA: Roger Johnson (Wolves, mkopo)
WALIOTOKA: Hakuna
No comments:
Post a Comment