Ni hivi karibuni Tu Msanii wa marekani Rihanna aliyetokea
katika wimbo wa Shakira Can’t Remember To Forget You’ na anayetamba na
ngoma zake nyingi tu ameonekana katika picha za utata alizozipost
katika ukurasa wake wa Instagram ,
Bongo Movie Star madam Wema
Sepetunga naye Amemrudi baada ya kupost naye picha zake za kiutata tata
huku akiwaambia mashabiki zake kuwa ameanza uchokozi hivyooooo
No comments:
Post a Comment