Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM chaanza huko DODOMA
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya
mrisho Kikwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma na kuwaambia wana
CCM kuwa uvumilivu una ukomo wake hivyo waache unyonge.
Baadhi
ya Wajumbe wa NEC wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa kikao cha NEC kilichoanza jioni ya jana mjini
Dodoma .
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha
Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma
leo, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mjumbe wa NEC Ndugu Bernard Membe akijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa
NEC na Martine Shigela kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro pamoja na
Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakhia Hamdani Meghji wakipitia makablasha
kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Lameck Nchemba akijadiliana jambo
na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kuanza kwa kikao
cha NEC mjini Dodoma.Picha na Adam Mzee na IKULU
No comments:
Post a Comment