Twiga. |
|
Kesi utoroshwaji wa twiga kwenda Uarabuni,
imekwama baada ya mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Kamran Ahmed,
kuugua ghafla muda mfupi kabla ya kufika mahakamani hapo.
Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, jana ililazimika kuahirisha
kesi hiyo baada Wakili wa mshitakiwa huyo, Edmund Ngemela, kuieleza
mahakama hiyo kwamba sukari ya mshitakiwa huyo ilipanda na kusababisha
ashindwe kufika mahakamani kuendelea na kesi inayomkabili
No comments:
Post a Comment