Mtoto wa aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu William Mgimwa Godfrey Mgimwa (wa pili
kushoto) akisindikizwa na wana CCM wenzake kwenda kuchukua fomu za kuwania
ubunge wa jimbo la Kalenga kwa Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Iringa
Msimamizi
wa Uchaguzi wa
Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka akimkabidhi fomu za uteuzi za kuwania
ubunge
wa jimbo la Kalenga, Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi
Marehemu William Mgimwa Ambaye ni Mgombea wa CCM Godfrey Mgimwa
jana.Picha zote
na Frank Leonard
No comments:
Post a Comment