ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, February 22, 2014

TAZAMA PICHA JINSI SHOW YA MCHEKESHAJI MAARUFU BASKET MOUTH ILIVYOJAZA NYOMI LA WATU HUKO UINGEREZA NI FUNZO KWA WASANII WETU






Hii ni show aliyofanya msanii Basket Mouth kutoka Nigeria, jamaa ni mkali sana wa kuchekesha. Tiketi zilianza kuuzwa wiki moja kabla na zilishambuliwa kama utituli. Maajabu ya show hii ni kua mwanzo ilitarajiwa kua show hiyo ingezuliwa na wanigeria tu lakini siku ya show walijichanganya hadi wasio wanigeria.


Team nzima ya Bongoclan ikajiuliza je wachekeshaji wa Bongo wanashindwa kufanya kama jamaa huyu??? Kwa Bongo sijawahi kusikia kwamba Masanja, Joti, Kiwewe na wachekeshaji wengine wameandaa show Mlimani City au sehemu yoyote ile na wakatoza pesa jambo ambalo linaweza kuwapatia mshiko mrefu. Namalizia kwa kuwapa ushauri wachekeshaji wengine kua WAKAMATE FURSA.
















No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...