ADV
SOMA HABARI
Saturday, February 22, 2014
VIDEO:Taaarifa ya Habari Kutoka ITV: Asasi za kiraia zinazofuatilia na kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa bunge maalum la katiba linaloendelea mjini Dodoma Zimetishia kuusimamisha mchakato huo mahakamani ama kwa kushtaki kwa wananchi kutokana na kitendo cha uongozi wa bunge kuimarisha ulinzi kwa kiasi kikubwa jambo ambalo linawatishia wabunge na wananchi kuwa huru kufuatilia na kutoa maoni yao kuhusu namna ambavyo mchakato huo unaendelea bungeni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment