NI KUREJESHWA MCHELE MBOVU PAKISTAN.
Mmiliki
wa Mchele uliodhibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya
vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na
waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye
wingi wa Nani 26 sawa na kg 2,600 katika Gonauni lake kwerekwe Zanzibar.
Mchele
mbovu uliodhibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar
ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo
nunuliwa.
Wachuku wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.
Mmiliki
wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akinyesha Mchele mbovu ulithibitishwa na
Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na
majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo ameshapeleka madai na
kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni ya Bilal Rice Mills
ya Pakistan.
No comments:
Post a Comment