Raila Odinga kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya.
Chama cha siasa nchini Kenya, ODM, jana kikianza mkutano wake mkuu wa siku mbili ambao pamoja na mambo mengine utafanikisha kupatikana kwa safu mpya ya uongozi wa chama hicho baada ya uchaguzi wa leo.
Mkutano huo uliwakutanisha viongozi na wanachama wa chama hicho kutoka maeneo mbalimbali ya taifa hilo. Hamisi Rachuri niongozi wa vijana wa ODM jimbo la Kwale na Sudi Mnette kwanza alitaka kujua matumaini yake katika mkutano huu.
No comments:
Post a Comment