INI...!!
Huyu ni queen video maarufu sana hapa Bongo na amekuwa akihusishwa
naskendo mabalimbali. zikizidi kumpaumaarufu wa kutisha. Hivi karibuni
Agness masognge amesepa zake kwena South akiwaacha watu midomo wazi nini
tena kinachompeleka huko na wakati alishakamatwa na Madawa.. katika
chunguzi zetu tumegundua nyuma ya pazia kuna Jamaa huyu ambaye ndiye
anayemfanya Masogange aishi mjini....
katika chunguzi zetu tumegundua huyu ndiye muhiska anayemiliki mzigo huu... Picha hizi hapo chini.
No comments:
Post a Comment