Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha
hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mkuu,
Mizengo Pinda akipongezwa na Mkewe Tunu baada ya Bunge kupitisha
bajeti ya Ofisi yake mjini Dodoma Mei 9, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Viti
Maalum, Pudenciana Kikwembe na watatu kushoto ni mbunge wa Temeke,
Abas Mtemvu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri
Mkuu, Florens Turuka baada ya bunge kupitisha bajeti ya Ofisi yake
mjini Dodoma Mei 9,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment