BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI
Zaidi
ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa
linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na
daraja la Wami. Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la
basi hilo.
Chanzo: Radio One Stereo
No comments:
Post a Comment