KOCHA
wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa
Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya
Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.
Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake.
Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook hivi

No comments:
Post a Comment