Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiungana na Meya wa Manispaa
ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipoungana na wananchi kufanya usafi
katika mto wa Mlalakuwa jijini Dar es Salaam ili kuepukana na ugonjwa
uliozuka wa Dengue ambao umekuwa tishio wakati akizindua zoezi la
kufanya usafi jijini lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA
YETU’ lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto) akimuongoza Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (katikati) kukagua mto wa
Mlalakuwa jijini Dar es Salaam wakati akizindua zoezi la kufanya usafi
lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’ lililofanyika
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wakati
zoezi la kukagua mto wa Mlalakuwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said
Meck Sadiki na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipata
wasaa wa kupita na kumpa pole mkazi wa Mikocheni ambaye alikuwa amefiwa
na Shemeji yake.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda pamoja na wananchi walioungana nae, wakiangalia
jinsi mto Mlalakuwa ulivyoharibiwa kutokana na mvua zinazoendelea
jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (mbele) akiongozana na Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda kuvuka Mto Mlalakuwa kuongea na
wananchi waliokuwa ng'ambo ya mto.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiwahimiza kuhama wananchi
wanaoishi pembezoni wa Mto Mlalakuwa kutokana na nyumba yao kubomoka na
maji kama inavyoonekana.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda wakikagua mabanda ya mama lishe yaliyopo
pembezoni mwa mto Mlalakuwa ambayo kwa kiasi kikubwa yapo katika
hatarishi ya kuwapa wateja wao magonjwa yanayoambukiza.
Hapa wakijionea jinsi maji machafu yanayotoka katika viwanda vilivyopo Mikocheni/Mwenge yakiingia katika Mto Mlalakuwa.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiongea na mmoja ya viongozi
wa Kampuni ya Coca Cola jinsi ya kuwasaidia mama lishe wanaofanya
biashara kuzunguka kiwanda hicho maana wapo katika mazingira magumu
yanayoweza kuchangia mlipuko wa magonjwa wakati wakizindua zoezi la
kufanya usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (mbele) akiongozana na Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda wakielekea kuongea na vyombo vya
habari mara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akitilia msisitizo suala la
usafi kwa wakazi wa jiji ili kuepukana na ugonjwa uliozuka wa Dengue
ambao umekuwa tishio wakati akizindua zoezi la kufanya usafi
lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’ lililofanyika
mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda.
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakioungana na viongozi wao kufanya usafi ili kuweka jiji salama.
Kila Mmoja akiwajibika.
Zoezi la usafi halikujali rangi wala taifa...
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongea na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Nabaki Afrika, Hamiliton wakati akizindua zoezi la kufanya
usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Mto Mlalakuwa ukiwa safi mara baada ya zoezi kumalizika.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongea na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Nabaki Afrika, Hamiliton wakati akizindua zoezi la kufanya
usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA
YETU’ lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto) wakizoa uchafu na
viongozi wa manispaa ya Kinondoni akiwemo Mkurugenzi wa Manispaa hiyo,
Mhandisi Mussa Natty (kulia) wakati wa zoezi la kufanya usafi
lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’ lililofanyika
mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mhandisi Mussa Natty akiwa amebeba uchafu mara baada ya kumaliza kufanya usafi.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongea na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Nabaki Afrika, Hamiliton pamoja na wananchi wakati akizindua
zoezi la kufanya usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU,
AFYA YETU’ lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es
Salaam.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongea na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Nabaki Afrika, Hamiliton wakati akizindua zoezi la kufanya
usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Umati wa Wananchi waliohudhuria katika shughuli hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Nabaki Afrika, Hamiliton akitoa shukrani zake za pekee kwa wananchi waliofika kufanya usafi pamoja.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nipe Fagio, Said Swale akiongea machache.
Mc Taji Liundi nae alipata nafasi ya kuongea macache.
Viongozi
wa makampuni mbali mbali waliohudhuria wakati akizindua zoezi la
kufanya usafi lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU
No comments:
Post a Comment