ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Sunday, July 20, 2014

HUYU NDIO INADAIWA NI MCHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU KIBONGE ZAIDI DUNIANI,TAZAMA PICHA ZAKE 5 ALIVYOWAHENYESHA CHELSEA



Chini ya ulinzi: Adebayo Akinfenwa akidhibitiwa na Nahodha John Terry
MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea jana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.



Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...