ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label Chelsea. Show all posts
Showing posts with label Chelsea. Show all posts

Sunday, July 20, 2014

HUYU NDIO INADAIWA NI MCHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU KIBONGE ZAIDI DUNIANI,TAZAMA PICHA ZAKE 5 ALIVYOWAHENYESHA CHELSEA



Chini ya ulinzi: Adebayo Akinfenwa akidhibitiwa na Nahodha John Terry
MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea jana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.



Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea



Tuesday, March 18, 2014

LIGI YA MABINGWA ULAYA :CHELSEA WASHINDA NA KUTINGA ROBO FAINALI

Samuel Eto'o akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya nne Uwanja wa Stamford Bridge
Prolific: The goal was the African forward's 30th strike in the Champions League

Hilo lilikuwa bao la 30 la Mwafrika huyo tishio kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya
Cushion: Cahill's strike extended Chelsea's aggregate lead to 3-1 and sent them towards the last eight
Cahill akiifungia Chelsea na kukamilisha ushindi wa jumla wa 3-1
Jumping for joy: Chelsea players celebrate Cahill's goal on the stroke of half-time
Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi
Return: Former Chelsea striker Didier Drogba emerges from the tunnel for Galatasaray
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba akiingia Uwanja wa Stamford Bridge na timu yake ya Galatasaray
Reunited: Drogba hugs Chelsea manager Jose Mourinho before the game
 Drogba akikumbatiana na kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kabla ya mechi

Hero: A banner saluting former striker Drogba on show at Stamford Bridge during the game
Bango la kumpa heshima yake Drogba likiwa limetundikwa Stamford Bridge wakati wa mechi
CHELSEA itaendelea kupeperusha bendera ya England kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya usiku huu kuitoa Galatasaray ya Uturuki kwa jumla ya mabao 3-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London.
Baada ya kutolewa kwa Manchester City na Arsenal katikati ya wiki iliyopita, Chelsea imejikatia tiketi ya kuingia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa kuifunga mabao 2-0 timu hiyo ya mchezaji wao wa zamani nyota, Didier Drogba.
Mabao ya Chelsea yamefungwa Samuel Eto'o 'Kikongwe' dakika ya nne na Gary Cahil dakika ya 43. Katika mchezo mwingine usiku huu, Real Madrid imeifunga Schalke mabao 3-1 Uwanja wa Santiago Bernabeu na kuwatoa Wajerumani hao kwa jumla ya mabao 9-2 baada ya awali kushinda 6-1 ugenini. Leo mabao ya Real yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 21 na 74 na lingine Alvaro Morata dakika ya 75, wakati la Schalke limefungwa na Tim Hoogland dakika ya 31

Wednesday, February 26, 2014

DROGBA AWAFANYIA KITU MBAYA CHELSEA

Close control: Drogba shows off his upper body strength with Branislav Ivanovic and Gary Cahill closing down
Acrobatic: Drogba attempts an overhead kick with sparring partner Terry watching on
Mshambuliaji wa Galatasaray, Didier Drogba kushoto akipambana na Nahodha wa Chelsea, John Terry katika mchezo wa kwanza 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu, timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Drogba alicheza pamoja na Terry Chelsea kwa muda mrefu
We meet again: Terry slides in on striker Drogba in a Galatasaray attack
Terry akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa Drogba
Leaping up: Terry just manages to head the ball out of his former team-mate's reach
Terry akigombea mpira wa juu na Drogba
Acrobatic: Drogba attempts an overhead kick with sparring partner Terry watching on
Drogba akijiandaa kubinuka tik tak mbele ya Terry
Acrobatic: Drogba attempts an overhead kick with sparring partner Terry watching on

Close control: Drogba shows off his upper body strength with Branislav Ivanovic and Gary Cahill closing down
Drogba akimiliki mpira mbele ya Branislav Ivanovic na Gary Cahill
Head-to-head: A frustrated Drogba meets former team-mate Ramires during the match
Drogba akitaniana na Ramires wakati wa mechi
The final bow: Drogba is substituted by Gala boss Roberto Mancini (right) as the game draws to a close
Drogba alipumzishwa na kocha wa Gala, Roberto Mancini kulia mwishoni mwa mchezo
Brothers in arms: Drogba and Branislav Ivanovic share a moment during the game
Drogba na Branislav Ivanovic wakizungumza wakati mchezo ukiendeleaTussle: Chelsea defender Gary Cahill (left) tries to get the ball from his former team-mate
Drogba akimkokota Gary Cahill
Striking alliance: Drogba (centre) congratulates Fernando Torres after the match
Drogba (katikati) akimpongeza mfungaji wa bao la Chelsea, Fernando Torres baada ya mechi
Respect: Frank Lampard shows his respect to his former Blues mate as they leave the field
Frank Lampard akimpa heshima yake Drogba baada ya mechi
Signs are there: Galatasaray fans hold up a sign in tribute to their former Chelsea striker
Mashabiki wa Galatasaray wakiwa wameshika bango la Drogba

Tuesday, October 1, 2013

LIGI ZA ULAYA LEO, ARSENAL, CHELSEA, BARCA, DORTMUND, NAPOLI, AC MILAN

zzzzzchampions_league_wallpaper_2012_13-1203186_1d0c2.jpg
RAHA NI ARSENAL v NAPOLI, STEAU v CHELSEA, PORTO v ATLETICO, CELTIC v BARCA!
MECHI za Pili za Makundi E hadi H zipo Dimbani leo huku Chelsea wakiwa Ugenini wakisaka ushindi wao wa kwanza baada ya kutandikwa katika Mechi yao ya kwanza, Arsenal wapo Emirates na mtanange mkali sana na Napoli huku Vigogo Barcelona, bila ya Supastaa Lionel Messi, wakiwa Ugenini Uwanja wa Celtic Park ambako Msimu uliopita walinyukwa.(P.T)

Tuesday, July 30, 2013

DaVIS MOSHA AMPELEKA MWANAYE KUFANYA MAJARIIO NA CHELSEA

GARI MPYA YA DaVIS MOSHA: NI GARI LA BEI KUBWA SANA




  Gari aina ya Lamborghini anayomiliki mfanyabiashara Davis Mosha huko Bongo.
ZIARA YA DAVIS MOSHA VOA [VOICE OF AMERICA]

??????????????????????????????? 
Kushoto ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake David Mosha “The C.E.O” aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Marekani.

The BossKulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika  ofisi za VOAThe Boss3Davis Mosha akifanya mahojiano na VOA

Monday, June 10, 2013

Mourinho atambulishwa rasmi Chelsea


mourinho a5a90
 Mourinho
mourinho2 7c61a
mourinho3 f5edf
Mashabiki wa chelsea wakiwa na furaha
Rasmi darajani, amesisitiza hajawahi kuwa na bifu na Abramovich, ataka kumrejesha John Terry uwanjani, awataka wachezaji kucheza kwa uzalendo mkubwa.


Akizungumza na waandishi wa habari, Mourinho ambaye miaka ya nyuma akiwa na Chelsea alikuwa anajiita “The Speacial one” kwa tafsiri isiyo rasmi,  akimaanisha mtu maalumu, leo hii ametoa kali ya mwaka baada ya kubadili jina hilo na kujiita “The Happy One” kwa tafsiri isiyo rasmi unaweza kusema “Mtu mwenye furaha pekee”.
Mreno huyo ambaye ametokea klabu ya Real Madridi ya Hispania leo mchana ametambulishwa jijini London na kujibu maswali mengi kutoka kwa wanahabari waliohitaji kujua mambo mengi kutoka kwake likiwemo suala la uhusiano na bosi wake Abramovich.
Mourinho ambaye miaka ya nyuma alitimuliwa na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich baada ya kushindwa kuelewana, leo hii amesema kipindi cha nyuma alikuwa na mahusiano mazuri na bosi wake, endapo wangekuwa na mahusiano mabaya asingerejea kwa mara ya pili darajani.
Akiongea na wanahabari wapatao 250 leo katika uwanja wa Stamford Bridge, aliulizwa kama ataendelea kujiita “The Special one”, kocha huyo mwenye umri wa miaka 50 kwa sasa alisema “I am the Happy One” na kumalizia maneno yake kwa kusema “nina furaha sana”.
Mourinho alisema ” Mambo mengi sana yametokea katika maisha yangu ya kufundisha soka na kazi yangu miaka tisa iliyopita, lakini ni mtu yule yule, nina moyo uleule, nina hisia zile zile za kupenda mpira na kazi yangu, lakini kwa sasa ni mtu mwingine kabisa baada ya kurudi nyumbani Chelsea, nina furaha sana”.
Mourinho amewataka wachezaji wake kujituma zaidi na kuongeza kuwa klabu ni muhimu kuliko wao, kwani isingekuwepo wao pia wasingekuwepo. Chanzo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...