MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei
5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya
watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni
12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia
12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO HAYO
No comments:
Post a Comment