Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa
pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara
Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya
Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa
Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile kulia akimshukuru Waziri wa Ujenzi
Dkt. John Magufuli mara baada ya hafla ya utiaji sahihi wa Muhtasari wa
Majadiliano.
Tukio la utiaji sahihi likiendelea kama inavyoonekana pichani.
Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Barabara Eng. Patrick Mfugale akionesha mchoro wa nguzo kubwa
za daraja hilo litakalopita baharini pembezoni mwa daraja la Selander
huku Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara
ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe wakifatilia kwa makini.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli akifafanua kuhusu ujenzi wa daraja hilo. Picha kwa Hisani
ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) Wizara
No comments:
Post a Comment