ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, December 6, 2014

DIAMOND AWASILI WASHINGTON, DC TAYARI KWA MAKAMUZI YA SHEREHE YA UHURU NUDA NFUPI UJAO‏


 Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
 Diamond akimsalimia mwenyeji wake hayupo pichani mara tu alipowasili Dulles.
 Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...