Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia
ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili
kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi
uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment