
Idris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.


Meneja Uhusiano wa
Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana
jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan pamoja na
aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Shindano
la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, akizongwa na umati wa watu
mashabiki wake huku akiwa na furaha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Idris ameibuka kidedea na kunyakua
taji hilo la Big Brother Africa 2014. Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa
mshiriki mweza wa Idris.

Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan, akizungumza wakati akihojiwa na waandishi wa habari, baada ya kuwasili nchini.
No comments:
Post a Comment