Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva
akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano
wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya
uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya
Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam

Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian
Lubuvaakisalimiana na Katibu wa NEC Organaizeshen CCM,Dk.Mohamed Seif
Khatibu

Wadau mbali mbali wa vyama vya siasa

Mwenyekiti wa Chama cha United Demoratic (UDP), John Cheyo akipitia ratiba wakati wa mkutano huo.(P.T)

Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva
(kushoto), akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama
vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam

Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto), akiteta na Katibu Mkuu wa ACT
-Tanzania, Samson Mwigamba wakati wa mapumziko. Viongozi hao waliwahi
tibuana na kusababisha Mwigamba kuhamia chama hicho kipya kutoka Chadema

Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akizungumza jambo na
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) pamoja na Katibu Mkuu
wa Chadema, Willbrod Slaa wakati wa mapumziko katika mkutano wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi na Viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho
ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kura ya Maoni ya
Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam
Katibu wa
Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) pamoja na Katibu Mkuu
wa Chadema, Willblod Slaa wakati wa mapumziko katika mkutano wa Tume ya

Msajiri
wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi akisisitiza jambo wakati
wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na wadau wa Vyama Vya Siasa.

Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano huo
ambapo aliwaambia Tume ya Uchaguzi inabidi iwe na utaratibu wa kujibu
maswali ama hoja za wananchi kwa wakati ili kuondoa wasiwasi wa kuelewa.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akichangia hoja kwenye mkutano huo.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye (kulia) akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Wilbrod Slaa.
No comments:
Post a Comment