
Mwandamanaji mwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi 
kati jijini Dar es salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana
 

Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali 
akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu 
cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao 
Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda  Issa Ponda kuachiwa na jeshi 
la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa 
kusababisha vurugujijini Dar es salaam.

Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika o 
kikuu cha Reli karibu na polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana.
No comments:
Post a Comment