Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu
unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano
huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na
wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika
Mashariki. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu
Augustine, Dkt. Charles Kitima, wakati alipokuwa akitembelea kukagua
mabanda ya maonyesho baada ya kufungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa
Vyuo Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika
Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na
unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu
katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Mawaziri wa Afrika Mashariki,
Musa Sirima, wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo
Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki.
Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu
na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa
Afrika Mashariki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kwanza wa Umoja
wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika
Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na
unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu
katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment