
Mh.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya
kuwasili nyumbani kwao Brussels kwa ajili ya chakula cha jioni

Pichani ni baadhi ya watanzania na maafisa ubalozi waliojitokeza kumpokea Mh. Mkapa

Mh. Mkapa akisaliana na wadau

Wadau wakiendelea na salam pamoja na ukaribisho

Watanzania walijitokeza kwa wingi kumkaribisha Mh. Mkapa

Ukaribisho ukiendelea

MHESHIMIWA RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Wakina mama hawkaubaki nyuma

Mh. Mkapa akikaribishwa

Baadhi ya watanzania waliojumika na Mh. Mkapa ktaika chakula cha jioni nyumbani kwa Mh. Balozi Kamala

Rais mstaffu wa Tanzania Mh. Benjami Mkapa akiwa katika picha na Mh. Balozi wa Tanzania Belgium Dr Kamala nyumbani kwake

Rais
mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi wa Tanzania Ubeligiji
Dr. Kamala

Raisi mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala

Baadhi
ya viongozi wa Jumuyia ya watazania Ubeligiji na Uholanzi wakiwa katika
picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa
pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dr Kamala
---
MHESHIMIWA
RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, BENJAMIN WILLIAM MKAPA
ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA
TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA TAREHE 21.10.2012 wakati Mh
Rais Mstaafu alipokuwa Brussels, Belgium kuhudhuria mkutano ulioandaliwa
na International Crisis Group(ICG).asante!
No comments:
Post a Comment