Mwandishi wa Habari wa Hits FM Mustafa akiuliza maswali katika
Mkutano wa Jeshi la Polisi juu ya fujo na ghasia zilizotokea katika Mkoa
wa Mjini Magharibi,hapo katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini
Zanzibar.
Kamishna wa Polisi Mussa Ali Mussa akifafanua jambo
katika Mkutano na Waandishi wa Habari akielezea juu ya Fujo na Ghasia
zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari
Mmoja,Mkutano huo umefanyika hapo katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani
Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano wa
Jeshi la Polisi kuelezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa
wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo
umefanyika hapo katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment