Kimeshaua watu 65 huko Hait
Hii ni picha ya Satelite ikionyesha Kimbunga Sandy kinavoendelea
Mwandishi mwenye roho ngumu akichukua picha za matukio ya kimbunga Sandy
Kimbunga Sandy yaweza chaweza kuwa na uharibifu kuliko kimbunga Irene kilichopita
New York City inavyoonekana jana kabla ya kimbunga kufika
Wengine wanasubiri mpaka kimbunga kiwafikie ndipo waanze kukimbia
Hivi ndivyo mambo yalivyo huko Haiti
Rais Obama ambaye alikuwa ahutubie mikutano ya kampeni huko Florida ameahirisha na kurudi Ikulu ya white House kwa ajili ya kuangalia mwenendo wa kimbunga Sandy
Baadhi
ya mikutano ya kisiasa ya hadhara imesitishwa huku Rais Obama akionya
watu kuchukua hatua za kujikinga na athari za zaidi za kimbunga hicho.
Usafiri
wa kimataifa kutoka nchini humo umeathirika sana. Mashirika ya ndege ya
Ufaransa, Uingereza na Virgin Atlantic yamesitisha safari zao katika
baadhi ya sehemu za nchi hiyo ikiwemo miji ya , New York, Baltimore,
Newark, Washington, Boston na Philadelphia kuanzia leo.
Kwa
mujibu wa idara ya utabiri wa vimbunga, saa nane asubuhi ya leo,
kimbunga hicho, kilianza kuelekea Kaskazini kikienda kwa kasi ya
kilomita 760, Kusini Mashariki mwa mji wa New York.
No comments:
Post a Comment