Mratibu
wa Mradi wa chama cha wakutubi kutoka Finland (TLF) Marjatta Lahthi
akitoa taarifa yake katika ufunguzi wa mkutano wa maktaba kwa
maendeleo jijini Dr es Salaam leo ambapo umewashirikisha zaidi ya watu
80 wakiwemo wadau wa maktaba pamoja na wajasiriamali kutoka Tanzania,
Kenya,Finland,Gemany, Italy na United Kingdom. Mradi huo kupitia
maktaba pamoja na mtumizi ya teknolojia ya ICT utawawezesha kupata
habari mbalimbali za shughuli zao za kila siku. |
No comments:
Post a Comment