ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, October 22, 2012

Vita vya Syria vinavyoleta migogoro nchi jirani kama Lebanon na Uturuki

 Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati.

Waandamanaji nchini Lebanon wamemtaka Waziri Mkuu Najib Mikati ajiuzulu kufuatia kifo cha mkuu wa  usalama Jenerali Wissam al Hassan.
Maafisa wa  usalama walipiga risasi hewani na pia walitumia gesi ya kutoa machozi ili kuwatawanya  watu waliokuwa na hasira wakati wa mazishi ya al Hassan mjini  Beirut.
Akihutubia wakati wa mazishi hayo aliekuwa Waziri  Mkuu wa Lebanon Fuad Siniora alimtaka Waziri Mkuu Mikati ajiuzulu kutokana na kifo cha al Hassan.
Mkuu huyo wa usalama pamoja na watu wengine wawili waliuawa kwa bomu kubwa lililotegwa ndani ya  gari mjini Beirut.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...