Joseph Chiombola, Mwezeshaji wa mafunzo
ya wanahabari wa Nyanda za Juu Kusini kuhusu Haki za Ardhi akifafanua
jambo kuhus Masuala ya Msingi katika Sera na Sheria za Ardhi Tanzania
mjini Iringa leo asubuhi.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la
kiserikali la HAKIARDHI, Yefred Myenzi, akifafanua jambo kuhusu sheria
mbalimbali za umiliki wa ardhi katika semina iliyoandaliwa na shirika
hilo ambayo inaendelea kwenye Ukumbi wa Neema Craft mjini Iringa. Picha
na Mjumbe mwenzenu DM.
Mwandishi wa ITV, Festo Sikagonamo, akiwa makini kufuatilia mafunzo hayo.
Mwandishi wa ITV, Festo Sikagonamo, akiwa makini kufuatilia mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment