ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, November 26, 2012

Israel yatumia Kombeo kama la Mfalme Daudi Kujikinga na makombora yanayorushwa na maadui hadi kilomita 300

 
Daudi kabla hajawa mfale, alivyomuua Goliath kwa jiwe la kombeo

   
Mfano wa kombora la kombeo
Staff Sling JPG 

  
Watawala wa israel wakifurahia kombora jipya kabisa lijulikanalo kama David's Sling (Kombeo ya Daudi)
  
Kombora likiwa angani
   
Mfumo uliotumika kutgengeneza kombora hilo

  
Kombora limepewa jina "Rafael"
   
Kombora kiliwa angani
 
   
Kombora likiwa tayari kirushwa
  
Kombeo la Daudi likiwa ndo limefyatuliwa
 
Magari maalu yakibeba kombora la Daudi

 
  
 
  
Wageni mbalimbali wakitembelea kiwanda cha kutengenezea makombora hayo
 
Mitambo ya kurushia makombora
  
 
 
 Israel imesema kuwa imefanikiwa kufanyia majaribio ya zana zake za ulinzi zinazokusudiwa kuzuia makobora yalio umbali wa kilomita 300.

Maafisa wa dola wamesema mtambo huo, kwa jina David's Sling au Manati ya Daudi, ulifanikiwa kuangusha kombora la kwanza katika jaribio lililofanyika wiki iliyopita.
Wakati utakapokamilika, mtambo huo utakuwa sehemu moja ya mfumo mkubwa wa ulinzi dhidi ya makombora ambao unashirikisha mtambo mwingine wa Iron Dome, ambao Wizara ya Ulinzi ya Israel inasema ulidungua mamia ya makombora ya kurushwa kwa roketi kutoka Gazi wakati wa mzozo wa majuma kadhaa yaliyopita.
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas yalianza kutekelezwa Jumatano iliyopita baada ya siku nane za mapigano.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...