Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na aliyekuwa Msimamizi wa
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Makamu wenyeviti wawili, Spika wa
Bunge Anna Makinda, baada ya kumtangaza kushinda nafasi hiyo ya
Uenyekiti, katika uchaguzi uliofanyika jana katika ukumbi wa
Kizota, Dodoma, ikiwa ni kuhitimisha shughuli za Mkutano Mkuu wa Nane wa
CCM. Wapili Kulia ni Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali
Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dk. Moahamed Gharib Bilal.
Mwenyekiti
wa CCM, Taifa, Jakaya Kikwete na Makamu wake Rais wa Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein (Zanzibar) na Philip Mangula (Bara) wakiwa meza kuu baada
ya kutangazwa kushika nyandhifa zao.
Wajumbe wakiserebuka baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangazwa kuwa mshindi wa Uenyekiti wa CCM, Taifa.
Mwenyekiti
wa CCM, Jakaya Kikwete akiongoza kikao baada ya kushinda tena kiti
hicho. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed
Sheni na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula.




No comments:
Post a Comment