Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM

Kinana na Makinda wakifuatilia kwa makini Mkutano mkuu wa CCM

Mzee Yusuf Makamba akimfanyia kampeni Kikwete
Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW
akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman
Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa
Chama cha Mapinduzi CCM. Karume
alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar nafasi ambayo imekwenda kwa Rais wa
sasa Dk. Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment