
Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group Of Companies
Akiwa na umri wa miaka 14 aliacha shule na kuwa muuza chips. Baadaye alimiliki mgahawa na kwa kipindi cha miaka 30 amejijengea utajiri mkubwa. Ni mtu mpole na mnyenyekevu asiyependa kuonekana hasa na waandishi wa habari mara kwa mara.
Utajiri wake ni:
Dola za Marekani 620 milioni
sawa na Sh992 bilioni

Mohammed Dewji
Alizaliwa tarehe 8/05/1975 , mjini Singida kata ya IpembeDola 560 milioni (Sh896 bilioni).
Rostam Azizi
Amezaliwa mwaka 1990. Ametokea kwenye familia iliyotokea Mashariki ya kati Vizazi 3 vilivyopita. Familia hii ilitua kwanza Zanzibar na baadaye kuhamia bara. Ni familia iliyojihusisha na biashara nyingi Afrika Mashariki.
Rostam Azizi anamiliki biashara za:
Vodacom Tanzania Ltd (a subsidiary of Vodafone)
Caspian Ltd – Kampuni kubwa zaidi Tanzania ya uchimbaji madini na ukodishaji wa mashine za kuchimia madini kama kule barricks n.k
Dar es Salaam Port – akishirikiana na Hutchison Wampoa
Wembere Hunting Safaris Limited
Africa Tanneries Limited
Tanzania Leather Industries Ltd
Magazeti mbalimbali , radio na station za televishen (http://en.wikipedia.org/wiki/Rostam_Aziz) Utajiri wake ni: (Sh672 bilioni- Dola
420 milioni)
-
Reginald MengiAmesomea maswala ya uhasibu. Wakati akiwa likizo ya sekondari miaka ya 60 alikuwa akifanya kazi katika kiwanda cha TPC na kulipwa mshahara wa chini ya shilingi 100 kwa mwezi. Alianzisha kampuni ya IPP miaka ya 80Biashara zake ni: IPP Consulting, ubia na makampuni ya vinyaji vya Cocacola kwanza, Binite Botlers, na maji ya kilimanjaro. Pia anaongoza kwenye utengenezaji wa sabuni za kuogea, dawa za meno (IPP Boady Care Ltd) pamoja na kumiliki vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti radio station tatu, na chanel mbili za televishen moja wapo ikiwa inarusha matangazo yake Afrika Mashariki. Baadhi ya magazeti yake ni The Guardian, The Sunday Observer, The Daily Mail, na the Financial Times ya Kiingereza na Nipashe, Nipashe Jumapili, Taifa Letu in ya kiswahili Independent Television Ltd. (ITV), East Africa Television (EATV,) Radio ONE, Sky-FM na East Africa Radio.Utajiri wake kwa sasa ni:Sh448bilioni- Dola 280 milioni
Ali Mufuruki
CEO wa Infotech Investment Group LTD yaDar es Salaam, Tanzania
Founding partner of East Africa Capital Partners (EACP) based in Nairobi Kenya
Chairman of Wananchi Group Holdings LTD of Nairobi, Kenya.
Founding Chairman of The CEOs’ Roundtable of Tanzania
Chairman of Air Tanzania Company LTD from 2002-2007
Chairman of the Audit Committee of the Board of Directors of the Tanzania Central Bank from 2008-2011.
Member of the Board of Trustees of ATMS Foundation in the Netherlands since 2009
Henry Crown Fellow of The Aspen Institute Class of 2001.
Founder and Chairman of The Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa
Holder of a BSc degree in Mechanical Engineering Design (Reutlingen, Germany 1986).
Utajiri wake ni: Sh176
bilioni - Dola 110 milioni
WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz,
Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa
linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo
matajiri zaidi nchini.
Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa
anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni
sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye
utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha
mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola
420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176
bilioni - Dola 110 milioni).
Matajiri hao wamepatikana baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali. Jarida hilo linalotoka mara moja kwa mwezi kutoka Afrika Magharibi, limesema matajiri hao wa Tanzania ni kati ya Waafrika wenye utajiri ambao ni mabilionea 4,800 kutoka mataifa 17.Asilimia kubwa ya watu 1,523 ni mamilionea na wamo katika ripoti ya watu matajiri Afrika.Jarida hilo linataja jinsi matajiri hao walivyokuwa wajasiriamali wadogo kabla ya kuibuka na kuwa mabilionea.
No comments:
Post a Comment