Afisa
Masoko wa Tigo Jacqueline Nnduma (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari ambapo amesema kwa wateja wanaoishi mbali na vyanzo vya umeme,
huduma hiyo bunifu itarahisisha na kufanya upatikanaji wa bidhaa za Tigo
uwe rahisi, pamoja na kuwapa wateja nishati rafiki na endelevu kwa
ajili ya matumizi yao ya kila siku.Katikati ni Meneja Miradi Yaya
N’djore na kulia ni Afisa Uhusiano Msaidizi Mariam Mlangwa.
Afisa
Masoko wa Tigo Jacqueline Nnduma (kushoto) akionyesha kifaa
kinachotumia nishati ya jua kwa ajili ya kuchajia simu wakati wa mkutano
na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment