ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, December 10, 2012

Hujafa Hujaumbika

 Msichana huyu alikuwa afe kwa sababu madaktari wanaoweza kuutibu ugonjwa wake ni wachache sana duniani. Alifanyiawa operesheni zaidi ya mara nne ili kuongoa mifupa iliyokuwa inakuwa katika taya lake la chini ya uso hadi kufikia kuli saba. fuatilia kisa hichi ili mimi na wewe tuweze kuwa na shukrani kwa Muumba wetu aliyetuumba bila matatizo mengi



Hapa akifanyiwa upasuaji wa kwanza na Dr. Gomez


Hapa ni baada ya kuondolewa mifupa ya awali iliyokuwa inarefuka na kuwekewa mifupa ya plasiki






1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...