---
Wasanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
na Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' usiku wa kuamkia leo wameweka historia
kwa kufanya shoo ya aina yake ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live
uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. Wasanii hao walisindikizwa
na mkali Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi, Msanii mkongwe
Ally Baucha pamoja na Bendi ya Extra Bongo. Shoo hii imeletwa kwenu kwa
hisani kubwa ya Serengeti Premium Lager na Vodacom - Wajanja wa
Kujirusha.PICHA ZOTE : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL
No comments:
Post a Comment