ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, December 26, 2012

Mwanamke Mzee kuliko wote duniani afariki dunia akiwa na miaka 124


 Mariam akiwa ameshilikia paspoti yakr ikionyesha amezaliwa mwaka 1888
  

 
Mariam Amash akiwa katika ppozi
  
Mariam Amash akivuta sigara

 
Mariam Amash akifanya mazoezi
 
Mwanamke Mwisraeli mwenye asili ya Kiarabu mwenye umri wa miaka 124 amefariki dunia. Mariam Amash, aliyezaliwa mwaka 1888, amefariki Jumamosi  katika kituo cha afya cha Hillel Yaffe , Hadera, akiwa na miaka 124,
Amash ana watoto 10 wajukuue200 grandchildren na vitukuu visivyojulikana idadi bado  Kama umri wake ungewekwa kwenye Guiness records basi angeweza kuwa mwanamke mzee zaidi duniani.
Kwa sasa katika vitabu yva Guines rekodi inaonyesha kuwa binadamu mzee zaidi duniani ni Jiroemon Kimue ambaye amezaliwa ana miaka 115 .


Jirouemon Kimura
  
 
Kimura akiwasalimia watu katika moja ya matukio mbalimbali

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...